Wewe ni wa muhimu hivyo jijali muda wote. Zingatia lishe bora na uchangamshe mwili wako kwa mazoezi kiasi. Furahi, afya ya akili huupa mwili afya pia. J. A. Y!!
Kujijali nimuhimu sana. Ni mwanzo wa kupata furaha katika maisha yako.
Kujijali nimuhimu sana. Ni mwanzo wa kupata furaha katika maisha yako.
ReplyDelete