J. A. Y

Haijalishi wewe nani katika ulimwengu huu. Tumeumbwa sawa na sote tutakufa. Kwa kusema hivyo basi, jali afya yako kwa kupata lishe bora ili uishi vizuri. Epuka maradhi yatayokufanya ufe haraka kwakukosa lishe sahihi / na bora.

No comments:

Post a Comment