Wewe ni wa muhimu hivyo jijali muda wote. Zingatia lishe bora na uchangamshe mwili wako kwa mazoezi kiasi. Furahi, afya ya akili huupa mwili afya pia. J. A. Y!!
Binadamu yeyote bila kujali hali yake kimwili, siasa, uchumi, akili /
mawazo, anahaki ya kutamba kwa furaha kwani anauhai. J. A. Y!!! Jali
Afya Yako muda wote ili ufurahie maisha uliyopewa na Mwenyezi Mungu
No comments:
Post a Comment